sw_tn/heb/10/26.md

36 lines
854 B
Markdown

# Sentensi Unganishi:
Mwandishi anatoa onyo la nne.
# kwa makusudi
"kwa kukusudia"
# baada ya kuwa tumepokea ujuzi wa kweli
Ujuzi wa kweli kunaongelewa kana kwamba ni chombo ambacho kinaweza kumpa mtu mmoja hadi mwingine. AT: "baaba ya kuwa tumejifunza kweli"
# dhabihu ya dhambi haipo tena
"hakuna awezaye kutoa dhabihu ambayo Mungu atatusamehe dhambi zetu"
# kweli
Ukweli kuhusu Mungu.
# hakuna tena dhabihu kwa ajili ya dhambi
Hakuna mtu yeyote awezaye kutoa dhabihu mpya kwa sababu dhabihu ya Kristo ndiyo pekee inayofanya kazi.
# dhabihu kwa ajili ya dhambi
"dhabihu kwa ajili ya dhambi" inasimama kama njia tendaji ya kudhabihu wanyama ili kuondoa dhambi"
# ya hukumu
ya hukumu ya Mungu. ambayo, Mungu atahukumu.
# ukali wa moto ambao utawateketeza adui wa Mungu
Ukali wa Mungu unaongelwa kana ni moto ambao ungechoma maadui wake.