sw_tn/heb/10/19.md

1.9 KiB

Sentensi Unganishi:

Baada ya kuweka wazi kwamba kuna dhabihu moja kwa ajili ya dhambi, mwandishi anaendelea na picha ya patakatifu pa patakatifu katika hekalu, mahali ambapo kuhani mkuu aliweza kuingia kila mwaka na damu ya dhabihu

Ndugu

Hii inamaanisha kwa waumini wote katika Kristo awe mwanaume au mwanamke. "dada" au "waumini"

mahali patakatifu zaidi

Hii inamaanisha uwepo wa Mungu, sio mahali patakatifu zaidi katika hema ya zamani.

kwa damu ya Yesu

"Damu ya Yesu" inamanisha kwa kifo cha Yesu.

njia iliyo hai

pengine inamaana 1) Njia hii mpya kwa Mungu kwamba Yesu ametoa matokeo ndani ya waumini kuishi milele au 2) Yesu yu hai, na na ni njia ambayo waumini wanaingia kuingia katika uwepo wa Mungu.

kwa jinsi ya mwili wake

neno mwili hapa inasimama kama kwa mwili wa Yesu, na mwili wake unasimama kwa kifo chake the kujidhabihu. AT: "kwa jinsi ya mwili wake"

Tunaye kuhani Mkuu juu ya nyumba ya Mungu

Hii ni lazima itafsiriwe katika namna kuweka wazi kwamba Yesu ni "kuhani Mkuu."

juu ya nyumba

"Msimamizi wa nyumba"

nyumba ya Mungu

"watu wote wa Mungu"

Tumkaribie

Kumkaribia hapa inasimama kwa kumwabudu Mungu, kama kuhani alipaswa kwenda juu ya mimbali ili kudhabihu wanyama kwa Mungu.

mioyo imenyunyiziwa safi

"mioyo ambayo Mungu ameinyunyizia kwa damu ya Yesu na kuifanya safi"

mioyo yetu ikiwa imenyunyizwa na kutakaswa

"kana kwamba alifanya mioyo yetu safi kwa damu yake"

kunyunyiziwa

"kazi ya kuweka vitu kuwa safi"

baada ya mikono yetu kuwa imeoshwa kwa maji maji halisi

"kana kwamba alikuwa ameosha miili yetu kwa maji halisi"

miili yetu imeoshwa kwa maji halisi

Kama mtafasirianaelewa kwamba sentensi hii yanamaanishaubatizo wa Kikristo, hivyo maji ni maji halisi na sio mfano. Lakini kama maji yanachukuliwa kama maji, hivyo "halisi" inasimama kwa niaba ya usafi wa kiroho ambao ubatizo unaosemwa hapa umetimiliza. "Kuoshwa" kunasimama kama waumini kuwa kupokelewa na Mungu.