sw_tn/heb/10/01.md

44 lines
1.3 KiB
Markdown

# Sentensi Unganishi:
Mwandishi anaonyesha udhaifu wa sheria na dhabihu zake, kwa nini Mungu aliwapa sheria, na utimilifu wa ukuhani mpya na dhabihu ya Kristo.
# sheria ni kivuli cha mambo mema yajayo
Hii inaongewa kuhusu sheria kana kwamba kilikuwa ni kivuli. Mwandishi anaongea kwamba sheria haikuwa vitu vizuri ambavyo Mungu alikuwa ameviahidi. Ni sehemu ndogo tu ya mambo mazuri ambayo Mungu alipaswa kuyafanya.
# si yale yaliyo halisi ya yale mambo yenyewe
" sio vitu halisi vyenyewe"
# mwaka hadi mwaka
"kila mwaka"
# dhabihu hizo zisingeweza kukoma kutolewa
Mwandishi antaumia swali kuelezea kwamba dhabihu zilikuwa na nguvu ya ukomo. "wangekuwa wameacha kudhabihu dhabihu"
# ilikoma
"sitisha"
# Kwa sababu hiyo
"kwa hali hiyo"
# wakiwa wamesafishwa
Dhambi za watu zinaongelewa kana kwamba ziklikuwa zikioshwa ana kwa ana. AT: " Kama Mungu alikuwa tayari amekwisha samehewa dhambi zao"
# wasingekuwa na utambuzi
"wangeweza kufahamu kuwa hawana hatia ya dhambi tena."
# haiwezekani kwa damu mafahari na mbuzi kuziondoa dhambi
Dhambi zinaongelewa kana kwamba zikuwa vyombo ambavyo damu ya wanyama ingeweza kuziondoa. AT: "Kwa sababu haiwezekani kabisa Mungu kusamehe dhambi kwa kwa sababu ya damu ya mafahar na mbuzi.
# damu ya mafahari na mbuzi
"Damu" hapa inamaanisha kwa wanyama hawa waliokuwa wanakufa kwa kama dhabihu kwa Mungu.