sw_tn/heb/09/11.md

997 B

Sentensi Unganishi:

Baada ya kufafanua huduma ya hema la agano chini ya sheria ya Mungu, mwandishi anaweka bayana kwamba huduma ya Kristo chini ya agano jipya ni bora pia kwa sababu imefunikwa kwa damu yake. Ni bora pia kwa sababu Kristo ameingia hekalu la kweli, ambalo ni uwepo wa Mungu mbinguni, badala ya ya kuingia, kama makuhani wakuu, ndani ya hema ya duniani, ambayo kimsingi ilikuwa ni nakala isiyo timilifu.

Vitu vizuri

Hii haimaanishi vitu vinavyoshikika. Inamaanishavitu vizuri ambavyo Mungu ameahidi katika agano lake jipya.

hema kuu na ukamilifu zaidi

Hii inamaanisha hema la mbingunini muhimu zaidi na timilifu zaidi ya hema ya duniani.

ambayo haikufanywa kwa mikono ya binadamu

Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "ambayo haikufanywa kwa mikono ya binadamu"

mikono ya binadamu

"Mikono" inamanisha mtu.

mahali patakatifu zaidi

Uwepo wa Mungumbinguni unaongelewa kana kwamba kana kwamba ilikuwa sehemu takatifu zaidi, chumbacha ndani cha hekalu.