forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
796 B
Markdown
20 lines
796 B
Markdown
# Waebrania 08 Maelezo kwa jumla
|
|
|
|
## Muundo na mpangilio
|
|
|
|
Mwandishi anamalizia kwa kufafanua jinsi gani na ni kwa nini Yesu ndiye kuhani mkuu muhumu. Halafu anaanza kuzungumzia jinsi agano jipya ni bora kuliko agano Mungu alifanya na Musa. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/covenant]])
|
|
|
|
Watafsiri wengine wametenga kila msitari wa ushairi kulia kuliko maandishi mengine ili isomeke kwa urahisi. ULB inafanya hivi na ushairi katika 8:8-12, ambayo ni maneno kutoka Agano la Kale.
|
|
|
|
## Dhana muhimu katika sura hii.
|
|
|
|
### Agano jipya
|
|
|
|
Mwandishi anaelezea jinsi Yesu ameanzisha agano jipya ambalo ni bora kuliko agano Mungu alianzisha na wana wa Israeli. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/covenant]])
|
|
|
|
## Links:
|
|
|
|
* __[Hebrews 08:01 Notes](./01.md)__
|
|
|
|
__[<<](../07/intro.md) | [>>](../09/intro.md)__
|