forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
982 B
Markdown
24 lines
982 B
Markdown
# Sentensi Unganishi:
|
|
|
|
Baadaa ya mwandishi kuonyesha ukuhani wa Kristo ulivyo bora kuliko ukuhani wa duniani, anaonyesha kuwa ukuhani wa duniani ulikuwa ni mfano wa mambo ya mbinguni. Kristo ana huduma iliyo bora, au agano lililobora.
|
|
|
|
# Sasa
|
|
|
|
Hii haimaanishi ni "wakati huu," lakini neno hili limetumika kuvuta usikivu kwa kipengele muhimu kinachofuata.
|
|
|
|
# tunasema
|
|
|
|
Ingawa mwandishi anatumia wingi "tuna" kimsingi anaongea yeye mwenyewe.AT: "Ninasema" au "ninaandika"
|
|
|
|
# aliketi kwa mkono wa kuume
|
|
|
|
Neno "mkono wa kuume" linamaanisha sehemu ya heshima. AT: "aliketi katika sehemu ya heshima"
|
|
|
|
# katika kiti cha enzi mbinguni
|
|
|
|
Neno "Ukuu" linamaanisha Mungu, na kiti chan enzi linamaanisha utawala wa Mungu kama mtawala,
|
|
|
|
# hema ya kweli ambayo Bwana, sio mwanadamu, aliliweka
|
|
|
|
watu walijenga hema za dunianikwa kutumia ngozi za wanyama zilizofungwa katika nguzo za mbao, na zikawekwa kwa namna ya hema. Hema ya kweli hapa inamaanisha hema ya mbinguni ambayo Mungu ameitengeneza.
|