sw_tn/heb/07/11.md

835 B

sasa

Hii haimanishi "kwa wakati huu," imetumika kuvuta usikivu kwa kipengele muhimu kinachofuata.

kungekuwa na hitaji gani jingine zaidi la kuhani mwingine kuja kwa mfano wa Melikizedeki, na wala sio kwa mfano wa Haruni?

Swali hili linasisitiza kwamba haikutegemewa kwamba kuhani angeweza kuja kwa mfano wa Melikizedeki.

kuinuka

"kuja" au "kutokeza"

kwa mfano wa Melikizedeki

Hii ina maana kuwa Kristo kama kuhani ana sifa zifananazo na kuhani Melikizedeki.

na sio kutoka kwa namna ya Haruni

Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "na sio kuwa kwa jinsi ya Haruni" au "ambaye ni kuhani sio kwa mfano wa Haruni"

Kwa kuwa pindi ukuhani unapobdilishwa, sheria nayo ni lazima ibadilishwe.

Hii inaweza kutamkwa katika mfumo tendaji. AT: " kwa kuwa Mungu alipobdilishwa ukuhani, pia alipaswa kubadlisha sheria"