sw_tn/heb/07/07.md

933 B

mtu mdogo hubarikiwa na mkubwa

Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji: AT: "Mtu wa muhimu humbariki mtu asiye wa muhimu kama yeye"

katika jambo hili... katika jambo lile

Maneno haya hutumika katika kulinganisha ukuhani wa Lawi na ukuhani wa Melikizedeki. Lugha yako unaweza kuwa kunaweza kuwa na namna ya kusisitiza kwamba mwandishi anafanya ulinganifu.

imeshuhudiwa kwamba anaendelea kuishi

haijaandikwa katika maandiko kwamba kwamba Melikizedeki anakufa. Mwandishi wa kitabu cha Waebrania anaandika kukosekana kwa taarifa ya kifo cha Melikizedeki kana kwamba bado anaendelea kuishi. Hii inaweza kuelezewa katika muundo tendaji. AT: "andiko linaonyesha kuwa anaendele kuishi:

Lawi... alikuwa katika mwili wa baba yake

kwa kuwa Lawi alikuwa hajazaliwa bado, mwandishi kana kwamba bado alikuwa katika mwili wa Abrahamu. Kwa jinsi hii mwandishi anatia hoja kuwa Lawi alilipa zaka kwa Melikizedeki kupitia Abrahamu.