sw_tn/heb/07/01.md

24 lines
790 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Mwandishi wa kitabu cha Waebrania anaendeleza ulinganifu wake juu ya Yesu kama kuhani na kuhani Melikizedeki.
# Salem
Hili ni jina la mji.
# Abrahamu anarudi kutoka kuwauwa wafalme
Hii ina maanisha wakati Abrahamu na watu wake walipoenda na kuyashinda majeshi ya wafalme wanneili kumwokoa benamu yake, Lutu, na familia yake.
# ilikuwa kwake
"Ilikuwa kwa Melikizedeki"
# mfalme wa haki... mfalme wa amani
"mfalme wa haki... mfalme wa amani"
# Hana baba, hana mama, hana wazazi, wala mwanzo wa siku wala mwisho wa maisha yake
Inawezekana kufikiri kutoka katika ukurasa huu kwamba Melikizedeki hakuzaliwa wala hakufa. Ingawa, ni kama inamaanisha mwandishi anamaanisha kwamba Maandiko hayaarifu chochote kuhusu wazazi wa Melkizedeki, kuzaliwa, au kifo.