sw_tn/heb/05/09.md

32 lines
1.2 KiB
Markdown

# Sentensi Unganishi:
Katika mst wa11 mwandishi anaanza onyo lake la tatu. Anawaonya hawa wauminikuwa bado ni wachanga wa kiroho na kuwatia moyo kujjifunza neno la Mungu ili kwamba waweze kutambua jema na baya.
# alifanywa mkamilifu
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "Mungu alifanya mkamilifu"
# alifanya mkamilifu
hapa inamaanisha kuweza kufanywa mtu mzima kiroho, kuwa tayari kumtii Mungu katika nyanja zote za maisha.
# Alikamilishwa na kwa njia hii alifanyika kwa kila mtu amwaminiye kuwa sababu ya wokovu wa milele
Nomino dhaaniwa "wokovu" inaweza kusemwa kama kitenzi. AT: "hivyo anawaokoa wale wote wanaomtii na kuwafanya waishi milele"
# kwa kutengwa na Mungu
Hii inaweza kusems katika mfumo tendaji. AT: "Mungu alimtenga" au "Mungu alimteua"
# baada ya zamu ya Melkizedeki
hii inamaanisha kwamba Kristo kama kuhani ana vitu vinavyofanana na Melkizedeki kama kuhani.
# Tuna mengi ya kusema
Ingawa mwandishi anatumia neno la wingi lakini inaweza kuwa anamaanisha yeye mwenyewe.
# ninyi ni wavivu wa kusikia
uwezo wa kuelewa na kutii kunaongelewa kana kwamba ulikuwa ni uwezo wa kusikia. Na uwezo wa kusikia kunaongelewa kana kwamba ilikuwa ni chuma cha kilichohabika katika matumizi.