sw_tn/heb/03/12.md

1.2 KiB

ndugu

Hili linatulejesha kwa ndugu Wakristo, ikijumuisha jinsia zote mbili za kiume na kike. AT: "kaka na dada" au "waumini wenza"

Hakutakuwa na mtu yeyote aliye na moyo mwovu usioamini

moyo unaongelewa hapa kana kwamba ni akili ya mtu, sehemu ya utashi ya mtu. AT: "mtu yeyote kati yenu asiache kuamini katika Mungu"

Moyo ambao unageuka kinyume na Mungu

Moyo mtu unaongelewa kana kwamba nimtu mzima, ambaye angeweza kuacha kufuata njia sahihi. AT: "na unaacha kumtii Mungu aishie"

Mungu aishie

"Mungu wa kweli ambaye kweli anaishi"

kama iitavyo "leo"

"wakati nafasi inapatikana"

Hakuna mmoja miongoni mwenu moyo wake utfanywa mgumu kwa udanganyifu wa dhambi.

Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "udanganyifu wa dhambi haufanyi moyo mgumu wa mtu yeyote kati yenu"

hakunammoja kati yenu moyo wake utafanywa kuwa mgumu kwa udanganyifu wa dhambi

kutokuwa msikivu kunatazamwa kana kwamba kuwa mgumu au kuwa na moyo mgumu. Ugumu wa moyo ni matokeo ya udanganyifu wa dhambi. Hii inaweza kutiwa neno ili kwamba nomino dhaniwa "udanganyifu" inaelezewa kama kitenzi "danganya." AT: "hakuna mtu miongoni mwenu atanganywa na dhambi na kutokuwa msikivu" au "usitende dhambi, ukijidanganya mwenyewe na kutokuwa msikivu"