sw_tn/heb/01/01.md

1.8 KiB

Sentensi Unganishi:

Hii inaweka msingi wa kitabu chote: Ukuu wa Mwana- Mwana ni mkuu kuliko wote. Kitabu kinaanza na msisitizo kwamba Mwana ni mkuu kuliko manabii na malaika.

Maelezo ya Jumla:

Ingawa haijaelezwa mwanzoni mwa kitabu, barua hii iliandikwa kwa Waebrania Wakati (Wayahudi) ambao kimsingi walikuwa wanaelewa maelekezo mengi ya Agano la Kale.

Kupitia Mwana

''Mwana" ni cheo muhimu kwa Yesu, Mwana wa Mungu.

Mungu kuwa mrithi wa vitu vyote

Mwandishi anamwelezea kana kwamba Mwana atarithi utajiri na mali kutoka kwa Baba. AT: " kumilili vitu vyote"

Mungu aliuumba ulimwengu kupitia yeye

"Ni kupitia yeye pia Mungu aliviumba vitu vyote.

Mwana

Hiki ni cheo muhimu kwa Yesu, Mwana wa Mungu.

mng'ao wa utukufu wa Mungu

"mwanga wa utukufu wake.'Utukufu wa Mungu una muunganiko wa mng'ao sana. Mwandishi anasema Mwana anabeba mng'ao huo na anamwakilisha Mungu kwa ukamilifu.

tabia sawa ya asili yake

"sura ya Uungu wa mungu." Hii ina maana sawa na "mng'ao wa utukufu wa Mungu" Mwana anabeba tabia na asili ya Mungu na anawakilisha uungu wote wa Mungu. inaweza kusemwa katika

neno la nguvu zake

"neno lake la nguv." Hapa "neno" linamaanisha ujumbe au amri. AT: "amri yake ya nguvu"

Baada ya kufanya utakaso kwa ajili ya dhambi

Jina dhaniwa"takasa" linaweza kuelezea kama kitenzi: "kufanya safi." AT: "Baada ya kumaliza kutufanya kuwa safi' au baada ya kumaliza kututakasa kutoka katika dhambi zetu"

amefanya utakaso kwa ajili yetu

Mwandishi anaongea juu ya msamaha wa dhambi kana kwamba ulikuwa unamfanya mtu kuwa safi. AT: amefanya uwezekano kwa ajili ya Mungu kusamehe dhambi"

aliketi katika mkono wake wa kuume wa mwenye enzi"

Hapa "mkono wa kulia" linamaanisha sehemu ya utukufu.AT: "aliketi katika sehemu ya utukufu karibu na kwenye enzi"

Mwenye enzi aketiye juu

"Hapa "enzi" linamaanisha Mungu. AT: "Mungu mwenye enzi