sw_tn/hag/01/14.md

524 B

alitibua roho

Hii inamaanisha kuhamasisha au kushawishi.

mabaki

Neno "Mabaki"linatokana na watu waliobaki hai wakiwa wanatoka utumwani Babeli na walianza kuujenga Yerusalemu tena.

katika siku ya ishirini na nne Mwezi wa sita

siku ya nne ya mwezi wa sita - Hii ni siku 23 tu baada ya kupata maono. Huu ni mwezi wa sita kwa kalenda ya kiebrania. Siku ya ishirini na nne ni karibu na katikati ya mwezi wa tisa kwa kalenda za kimagharibi.

mwaka wa pili wa Mfalme Dario.

"mwaka wa pili wa utawala wa Mfalme Dario"