forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
698 B
Markdown
20 lines
698 B
Markdown
# Kukapambazuka asubuh
|
|
|
|
"Mwanga wa asubuhi ulionekana"
|
|
|
|
# wale watu wakaruhusiwa kuondoka, wao na punda zao
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "waliwatuma watu waondoke, pamoja na punda zao"
|
|
|
|
# Kwa nini mmelipa uovu badala ya mema?
|
|
|
|
Swali hili linatumiwa kukaripia wale ndugu. "Mmetutendea vibaya, baada ya sisi kuwa wema kwenu!"
|
|
|
|
# Je hiki siyo kikombe ambacho bwana wangu hukinywea, na kikombe akitumiacho kwa uaguzi?
|
|
|
|
Swali hili linatumika kukaripia wale ndugu. "Tayari mnafahamu ya kwamba hiki ni kikombe ambacho bwana wangu hutumia kunywea na kwa uaguzi!"
|
|
|
|
# Mmefanya vibaya, kwa jambo hili mlilolifanya.
|
|
|
|
Hii inarudia "mmefanya" kuonyesha msisitizo. "Kile mlichofanya ni kibaya sana"
|