sw_tn/gen/43/30.md

16 lines
484 B
Markdown

# akaharakisha kutoka chumbani
"aliharakisha nje ya chumba"
# kwani aliguswa sana kuhusu nduguye
Msemo "aliguswa sana" una maana ya kuwa na huruma kubwa au hisia ambapo jambo muhimu hutokea. "kwa maana alipatwa na hisia kali za huruma kwa nduguye" au "kwa maana akawa na hisia za upendo kwa ndugu yake"
# akasema
Inaweza kuwekwa wazi ni kwa nani Yusufu anazungumza. "na akasema kwa watumishi wake"
# karibuni chakula
Hii ina maana ya kusambaza chakula ili kila mtu aweze kula.