sw_tn/gen/43/18.md

20 lines
751 B
Markdown

# Wale ndugu wakaogopa
"Ndugu wa Yusufu waliogopa"
# walivyoletwa katika nyumba ya Yusufu
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "walikwenda ndani ya nyumba ya Yusufu" au "mtunzaji aliwapeleka ndani ya nyumba ya Yusufu"
# Ni kwa sababu ya pesa iliyorudishwa katika magunia yetu mara ya kwanza tulipoletwa ndani
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Mtunzaji anatuleta ndani ya nyumba kwa sababu ya pesa ambayo mtu alirudisha ndani ya magunia yetu"
# kwamba atafute nafasi kinyume chetu. Kwamba aweze kutukamata
Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya. "Anasubiria nafasi ya kutushtaki, ili kwamba aweze kutukamata"
# tulikuja
Ilikuwa kawaida kutumia msemo "kushuka" pale ambapo inazungumziwa safari ya kutoka Kaanani kwenda Misri.