sw_tn/gen/42/05.md

24 lines
702 B
Markdown

# Wana wa Israeli wakaja kununua miongoni mwao waliokuja
Neno "wakaja" inaweza kutafsiriwa kama "kwenda". Pia, maneno "nafaka" na "Misri" inaeleweka. "Wana wa Israeli walikwenda kununua nafaka pamoja na watu wengine waliokwenda Misri"
# Basi Yusufu
"Basi" inaweka alama ya badiliko kutoka kwa simulizi kwenda kwa maelezo ya nyuma kuhusu Yusufu.
# juu ya nchi
Hapa "nchi" ina maana ya Misri. "juu ya Misri"
# watu wote wa nchi
Hapa "nchi" inajumlisha Misri na nchi zingine zinayoizunguka. "watu wote wa mataifa yote waliokuja kununua nafaka"
# Ndugu zake Yusufu wakaja
Hapa "wakaja" inaweza kutafsiriwa kama "walikwenda"
# kumwinamia na nyuso zao hata chini
Hii ni njia ya kuonyesha heshima.