sw_tn/gen/41/17.md

20 lines
422 B
Markdown

# tazama, nilisimama
Farao anatumia neno "tazama" kumfanya Yusufu kuvuta nadhari kwa habari ya kushangaza.
# ukingo wa mto Nile
Hii ni ardhi iliyo juuzaidi katika ukingo wa Mto Nile.
# Tazama, ng'ombe saba
Farao anatumia neno "tazama" kumfanya Yusufu kuvuta nadhari kwa habari ya kushangaza.
# wanene na wakuvutia
"waliolishwa vizuri na wenye afya"
# wakajilisha katika nyasi
"walikuwa wakila nyasi kando ya mto"