sw_tn/gen/41/09.md

40 lines
1.2 KiB
Markdown

# mkuu wa wanyweshaji
Mtu muhimu zaidi ambaye huleta vinywaji kwa mfalme.
# Leo ninayafikiri makosa yangu
Neno "Leo" linatumika kuonyesha msisitizo. "makosa" yake ni kwamba alitakiwa kumwambia Farao kitu mapema zaidi lakini hakufanya hivyo. "Nimegundua ya kwamba nimesahau kukuambia jambo"
# Farao aliwakasirikia
Mnyweshaji ana maana ya Farao katika mtu wa utatu. Hii ni njia ya kawaida ya mtu mwenye nguvu ya chini kuzungumza na mtu mwenye nguvu zaidi. "Wewe, Farao, ulikuwa na hasira"
# watumishi wake
Hapa "wake" ina maana ya Farao. Hapa "watumishi" ina maana ya mnyweshaji na mkuu wa waokaji. "na sisi, watumishi wako"
# kuniweka kifungoni katika nyumba ya kapteni wa walinzi, mkuu wa waokaji na mimi
"kuniweka mkuu wa waokaji na mimi gerezani ambapo kapteni wa walinzi alikuwa msimamizi" hapa "nyumba" ina maana ya gereza.
# kapteni wa walinzi
Askari msimamizi wa walinzi wa kifalme.
# mkuu wa waokaji
Mtu muhimu zaidi ambaye alitengeneza chakula kwa ajili ya mfalme.
# Tuliota ndoto usiku huo mmoja, yeye na mimi
"Usiku mmoja wote wawili tulipata ndoto"
# Tuliota
Hapa "Tuliota" ina maana ya mkuu wa mnyweshaji na mkuu wa waokaji.
# Kila mmoja aliota kwa kadili ya tafsiri yake
"Ndoto zetu zilikuwa na maana tofauti"