sw_tn/gen/38/08.md

16 lines
628 B
Markdown

# Onani
Hili ni jina la mmoja wa watoto wa Yuda.
# Fanya wajibu wa shemeji kwake
shemeji kwake - Hii ina maana ya utamaduni ambao mwana mkubwa anapofariki kabla yeye na mkewe kupata mwana, ndugu anayefuata kiumri angemuoa na kulala na mjane. Mjane atakapozaa mwana wa kwanza, mtoto yule alijulikana kuwa mwana wa ndugu wa kwanza na angepokea urithi wa kaka wa kwaza.
# lilikuwa ovu mbele za Yahwe
Msemo huu "machoni pa" una maana ya Yahwe kuona uovu wa Onani. "alikuwa muovu na Yahwe aliuona"
# Yahwe akamwua pia
Yahwe akamuua kwa sababu alichofanya kilikuwa kiovu. Hii inaweza kuwekwa wazi. "Kwa hiyo Yahwe akamuua pia"