sw_tn/gen/38/01.md

12 lines
265 B
Markdown

# Ikawa wakati ule Yuda
Hii inatambulisha sehemu mpya ya simulizi ambayo inamlenga Yuda.
# Mwadulami fulani, jina lake Hira
Hira ni jina la mwanamume aliyeishi Adulami. Mwadulami ni utaifa wake.
# jina lake Shua
Shua ni mwanamke wa Kaanani aliyeolewa na Yuda.