sw_tn/gen/35/21.md

16 lines
355 B
Markdown

# Israeli akaendelea
Inasemekana ya kwamba familia ya Israeli na watumishi wake wako pamoja naye. Maana kamili ya taarifa hii inaweza kuwekwa wazi.
# Bilha
Hii ni jina la mtumishi wa Raheli wa kike.
# Basi Yakobo alikuwa na wana kumi na mbili
Sentensi hii inaanza ibara mpya, ambayo inaendeleza mistari inayofuata.
# wana kumi na mbili
"watoto 12"