sw_tn/gen/32/29.md

16 lines
527 B
Markdown

# Akasema, "Kwa nini kuniuliza jina langu?"
Akasema, "Kwa nini kuniuliza jina langu?" Swali hili la balagha lilitakiwa kushtua, kukaripia na kumfanya Yakobo awaze juu ya kilichotokea kati yake na mtu mwingine aliyeshindana naye. "Usiniulize jina langu!"
# Penieli
"Jina la Penieli lina maana ya "uso wa Mungu".
# uso kwa uso
Kuwa "uso kwa uso" ina maana ya watu wawili kutazamana ana kwa ana, kwa umbali mfupi.
# na maisha yangu yamesalimika
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "na bado akasalimisha maisha yangu"