sw_tn/gen/31/41.md

36 lines
967 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Yakobo anaendelea kuzungumza na Labani.
# Miaka hii ishirini
"Miaka hii 20 iliyopita"
# miaka kumi na nne
"miaka 14"
# Umebadili ujira wangu mara kumi
"amebadili kile alichosema angenilipa mara kumi"
# Isipokuwa Mungu wa baba yangu, Mungu wa Ibrahimu, yule Isaka anayemwofu, amekuwa nami
Yakobo ana maana ya Mungu yule yule na sio kwa miungu watatu tofauti. "Kama Mungu wa Abrahamu, na Isaka, baba yangu, asingekuwa na mimi"
# Mungu wa baba yangu
Hapa neno "baba" lina maana ya mzazi wake, Isaka.
# yule Isaka anayemwofu
Hapa neno "anayemwofu" lina maana ya "hofu ya Yahwe" ambayo ina maana ya kumheshimu kwa ndani na kuonyesha heshima hiyo kwa kumtii yeye.
# mikono mitupu
mikono Hii ina maana kutokuwa na kitu. "bila kitu chochote"
# Mungu ameliona teso langu na jinsi nilivyofanya kazi kwa bidii
Nomino inayojitegemea "teso" inaweza kuwekwa kama "kuteswa". "Mungu ameona jinsi nilivyofanya kazi kwa bidii na jinsi ulivyonitesa"