sw_tn/gen/31/04.md

16 lines
593 B
Markdown

# Yakobo akatuma kuwaita Raheli na Lea uwanjani katika kundi lake la mifugo
"Yakobo akatuma kuwaita Raheli na Lea uwanjani katika kundi lake la mifugo"
# katika kundi lake la mifugo naye akawambia
Hii inaweza kuwekwa kama sentensi mbili fupi. "katika mifugo yake. Akawaambia"
# Naona nia ya baba yenu kwangu imebadilika
"Nimegundua baba yenu hafurahishwi na mimi tena"
# mnajua kwamba ni kwa nguvu zangu zote nimemtumikia baba yenu
Neno "mnajua" hapa lina maana ya wote Raheli na Lea. Pia linaongeza msisitizo. "Nyie wenyewe mnajua ya kwamba nimetumikia baba yenu kwa nguvu zangu zote"