sw_tn/gen/30/37.md

12 lines
358 B
Markdown

# mipopla .... mlozi ... mwaramoni
Hii yote ni miti ya mbao nyeupe
# akatoa maganda ili michilizi myeupe ionekane, na akaifanya sehemu nyeupe ya ndani ya mti iliyokuwa ndani ya fito ionekane
"na kutoa maganda ya mti ili kwamba mbao nyeupe ya chini ionekane"
# mabirika yakunyweshe
vyombo virefu vya wazi vinavyoshikilia maji kwa ajili ya wanyama kunywa