sw_tn/gen/29/19.md

12 lines
291 B
Markdown

# kuliko kumpa mwanamume mwingine
"kuliko kumpa kwa mwanamume mwingine"
# nayo ilionekana kwake kama siku chache tu
"lakini muda ulionekana kwake kama siku chache tu"
# kwa ajili ya upendo aliokuwa nao kwake
"kwa ajili ya upendo aliokuwa nao kwake" au "kwa sababu ya upendo wake kwake"