sw_tn/gen/26/12.md

32 lines
727 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Hii inaanza sehemu mpya ya simulizi. Inabadilisha kutoka kueleza kuhusu Isaka kumuita Rebeka dada yake, na inaanza kuelezea kuhusu jinsi Isaka alivyokuwa tajiri na Wafilisti wakawa na wivu kwake.
# katika nchi hiyo
"Gerari"
# vipimo mia
Hii ina maana ya "mara mia zaidi ya alivyopanda"/Inaweza kuelezwa kwa ujumla zaidi kama "zao kubwa sana"
# Mtu huyo akawa tajiri
"Isaka akawa tajiri" au "Akawa tajiri"
# akaongezeka zaidi hata akawa mkuu sana
"na akapata zaidi na zaidi hadi akawa tajiri sana"
# kondoo
Hii inaweza kujumuisha mbuzi pia.
# familia kubwa
Hapa "familia" ina maana ya wafanya kazi au watumishi. "watumishi wengi"
# Wafilisiti wakamwonea wivu
"Wafilisti walikuwa na wivu kwake"