sw_tn/gen/24/49.md

32 lines
1.1 KiB
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Mtumishi wa Abrahamu anaendelea kuzungumza kwa familia ya Rebeka.
# Kwa hiyo
"Kwa hiyo". Hapa "kwa hiyo" haimaanishi "katika muda huu", lakini unatumika kuvuta nadhari kwa lengo muhimi linalofuata.
# ikiwa mko tayari kumfanyia rehema na kweli, niambieni
Namna gani wangeonyesha uaminifu wao na ukweli inaweza kuelezwa kwa uwazi. "niambie kama utakuwa mwaminifu na mkweli kwa bwana wangu kwa kunipatia Rebeka awe mke wa mwana wake"
# mko
Neno "mko" ina maana ya Labani na Bethueli.
# uaminifu na kweli
Hizi nomino zinazojitegemea zinaweza kuelezwa kama "umanifu na ukweli"
# uaminifu wa familia
Huu ni uaminifu wa watu wa familia
# Lakini kama sivyo
Taarifa inayoeleweka inaweza kuelezwa kwa uwazi. "Lakini kama haujajiandaa kumtendea bwana wangu kwa uaminifu na ukweli wa familia"
# ili kwamba niweze kwenda upande wa kulia, au kushoto
Maana zaweza kuwa 1) kuamua nini cha kufanya kunazungumzwa kana kwamba mtu atageuka upande mmoja au mwingine. "ili kwamba nijue nini cha kufanya" au 2) mtumishi anataka kujua kama anahitaji kusafiri sehemu nyingine. "ili kwamba niendelee na safari yangu"