forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
516 B
Markdown
20 lines
516 B
Markdown
# yule mtu
|
|
|
|
"mtumishi"
|
|
|
|
# akainama chini
|
|
|
|
Hii ni ishara ya unyenyekevu mbele za Mungu.
|
|
|
|
# hakuacha agano lake la uaminifu na kweli yake mbele ya bwana wangu
|
|
|
|
"hakuacha kuonyesha agano lake la uaminifu na kweli kwa bwana wangu." Nomino zinazojitegemea "uaminifu" na "kweli" zinaweza kuelezwa kama "kuwa mwaniminfu na mkweli". "ameendelea kuwa mwaminifu na mkweli kwa sababu ya agano lake na bwana wangu"
|
|
|
|
# hakuacha
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa kwa namna ya chanya. "anaendelea kuonyesha"
|
|
|
|
# ndugu zake
|
|
|
|
"familia" au "ukoo"
|