forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
584 B
Markdown
24 lines
584 B
Markdown
# Baada ya haya
|
|
|
|
"Alipomaliza kununua shamba lile"
|
|
|
|
# pango la shamba
|
|
|
|
"pango katika shamba lile"
|
|
|
|
# shamba la Makpela
|
|
|
|
"shamba katika Makpela"
|
|
|
|
# ambayo ni Hebroni
|
|
|
|
Maana zaweza kuwa 1) Mamre lilikuwa jina lingine la Hebroni au 2) Hebroni alikuwa akijulikana kama Mamre au 3) Mamre alikuwa karibu sana na mji mkubwa wa Hebroni, kwa hiyo watu waliuita Hebroni mara kwa mara.
|
|
|
|
# kwa Abraham kama milki na eneo la kuzikia
|
|
|
|
"ikawa mali ya Abrahamu ya makaburi aliponunua kutoka kwa wana wa Hethi"
|
|
|
|
# wana wa Hethi
|
|
|
|
Hapa "wana" ina maana ya wale amabo wametoka kwa Hethi. "uzao wa Hethi"
|