sw_tn/gen/20/01.md

24 lines
454 B
Markdown

# Shuri
Hili ni eneo la jangwa upande wa mashariki wa mpaka wa Misri.
# akatuma watu wake kumchukua Sara
"aliwafanya wanamume wake kumfuata Sara na kumleta kwake"
# Mungu akamtokea Abimeleki
"Mungu akamtokea Abimeleki"
# Tazama
Hapa neno "tazama" linaongeza msisitizo kwa kile kifuatacho. "Nisikilize"
# wewe ni mfu
Hii ni njia ya nguvu ya kusema mfalme atakufa. "hakika utakufa hivi karibuni" au "Nitakuua"
# mke wa mtu
"mwanamke aliyeolewa"