sw_tn/gen/19/34.md

16 lines
662 B
Markdown

# Na tumnyweshe mvinyo ... wala wakati alipoamka
Hii inaweza kuelezwa kwa uwazi ya kwamba lengo lao lilikuwa kumfanya alewe. "kunywa mvinyo hadi alewe" au "alewe kwa mvinyo".
# tumnyweshe mvinyo
Hii inaweza kuelezwa kwa uwazi ya kwamba lengo lao lilikuwa kumfanya alewe. "kunywa mvinyo hadi alewe" au "alewe kwa mvinyo".
# Ili kwamba tuendeleze uzao wa baba yetu
Hii inazungumzia kuhusu kumpatia Lutu uzao kana kwamba familia yake ilikuwa na mtiririko mrefu. "ili kwamba tuweze kuzaa watoto ambao watakuwa uzao wa baba yetu"
# hakujua ni wakati gani alilala, wala wakati alipoamka
"hakujua chochote kuhusu hili" au "hakujua ya kwamba alilala pamoja naye"