sw_tn/gen/12/10.md

20 lines
587 B
Markdown

# Kulikuwa na njaa
Mazao hayakuota vizuri msimu huo.
# katika nchi
"katika eneo" au "katika nchi ambapo Abramu alikuwa akiishi"
# akaenda chini kuingia
Maana zaweza kuwa 1) "alikwenda kusini zaidi" au 2) "aliondoka mbali na Kaanani kuingia". Ingependeza kutafsiri kwa kutumia maneno ya kawaida ya kutoka eneo la juu kuelekea eneo la chini.
# wataniua mimi ... wewe hai
Sababu watakayomuua Abramu inaweza kufanywa wazi. "wataniua ili kwamba wakuoe"
# ili kwamba niwe salama kwa sababu yako
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "ili kwamba, kwa sababu yako, hawataniua mimi"