sw_tn/gen/12/04.md

8 lines
193 B
Markdown

# walivyomiliki
Hii inajumlisha wanyama na mali isiyokuwa na uhai
# Watu ambao wamewapata
Maana yaweza kuwa 1) "watumwa ambao wamewakusanya" au 2) "watu ambao wamewakusanya kuwa pamoja nao"