sw_tn/gen/11/05.md

40 lines
1.1 KiB
Markdown

# wazao wa Ibrahimu
"watu"
# akashuka
Habari kuhusu mahali aliposhuka inaweza kuwekwa wazi. "akashuka kutoka mbinguni". Hii haielezi jinsi gani alishuka kutoka mbinguni.
# kuona
"angalia kwa makini" au "kutazama kwa makini zaidi"
# watu hawa ni taifa moja na lugha moja
Watu wote walikuwa katika kundi moja kubwa na wote walizungumza lugha moja.
# wanaanza kufanya hivi
Yawezekana maana kuwa 1) "wameaanza kufanya hivi" ikimaanisha ya kwamba wameanza kujenga mnara lakini haijakamilika au 2)"hili ni jambo la kwanza walilofanya", ikimaanisha ya kwamba katika siku za usoni watafanya mambo makubwa zaidi.
# halitashindikana jambo watakalo kusudia kulifanya
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "kila jambo wanalikusudia kufanya litawezekana kwao"
# Haya! Njooni
"haya! njooni"
# tushuke
Neno "tushuke" ni wingi ingawa ina maana ya Mungu. Tafsiri zingine husema "na nishuke" au "nitashuka"
# tuvuruge lugha yao
Hii ina maana ya kwamba Yahwe angesababisha watu wote wa nchi kukoma kuzungumza lugha moja. "kuchanganya lugha yao"
# ili kwamba wasielewane
Hii ilikuwa lengo la kuchanganya lugha yao. "ili kwamba wasiweze kuelewa kile mwingine anachokisema"