sw_tn/gen/10/19.md

24 lines
665 B
Markdown

# mpaka
"eneo" au "mpaka wa eneo"
# ulianzia Sidoni, katika mwelekeo wa Gerari, hata Gaza
Mwelekeo wa kusini waweza elezwa wazi kama itahitajika. "Kutoka mji wa Sidoni magharibi hata mji wa Gaza, ambao uko karibu na Gerari"
# na kama kuelekea Sodoma, Gomora, Adma, na Seboimu hata Lasha
Mwelekeo ni "mashariki" au "bara" inaweza kuelezwa wazi kama itahitajika. "kisha mashariki mwa miji ya Sodoma, Gomora, Adma na Seboimu, hata Lasha"
# Hawa walikuwa wana wa Hamu
Neno "hawa" lina maana ya watu na makundi ya watu waliorodhoshwa katika mistari ya 10:6
# kwa lugha zao
"waligawanyika kulingana na lugha zao tofauti"
# katika ardhi zao
"katika makazi yao"