forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
559 B
Markdown
20 lines
559 B
Markdown
# Taarifa ya Jumla:
|
|
|
|
Hii inaanza simulizi ya Nuhu, ambayo inayoendelea mpaka kwenye sura ya 9.
|
|
|
|
# Haya yalikuwa matukio yanayomhusu Nuhu
|
|
|
|
"Hii ni taarifa ya Nuhu"
|
|
|
|
# alitembea na Mungu
|
|
|
|
Kutembea na mtu ni sitiari ya kuwa na uhusiano wa karibu na yeye. "Nuhu alikuwa na uhusiano wa karibu na Mungu" au "Nuhu aliishi kwa umoja na Mungu"
|
|
|
|
# Nuhu akafanyika baba wa wana watatu wa kiume
|
|
|
|
"Nuhu akawa na wana watatu wa kiume" au "Mke wa Nuhu akawa na wana watatu wa kiume"
|
|
|
|
# Shemu, Hamu, na Yafethi.
|
|
|
|
"Wana wa kiume hawajaorodheshwa katika mpangilio wa kuzaliwa"
|