sw_tn/gen/05/32.md

8 lines
358 B
Markdown

# akawa baba wa
"akazaa watoto wake wa kiume". Hii haituambii kama wana wa kiume walizaliwa katika siku moja au mika tofauti.
# Shemu, Hamu, na Yafethi
Yawezekana wana hawa wa kiume hawajaorodheshwa kufuata kuzaliwa kwao. Kuna mjadala kuhusu nani alikuwa mkubwa. Epuka kutafsiri haya majina na kuonyesha ya kwamba orodha ipo katika mpangilio wa umri wao.