sw_tn/gen/05/28.md

12 lines
318 B
Markdown

# akawa baba wa mwana wa kiume
"akapata mwana wa kiume"
# Nuhu
Jina hili linafanana na jina la Kiyahudi lenye maana ya "pumziko".
# katika kazi yetu na kutoka katika kazi ya taabu ya mikono yetu
Lameki anasema jambo hilo hilo mara mbili kusisitiza jinsi kazi ilivyo ngumu. "kwa kufanya kazi sana kwa mikono yetu"