sw_tn/gen/04/23.md

28 lines
782 B
Markdown

# Ada .. Sila
majina ya wanawake
# sikieni sauti yangu ... sikilizeni nisemacho
lameki alisema jambo moja mara mbili kuonyesha msisitizo. Sauti yake ni lugha nyingine kwa utu wake wote. "nisikilizeni kwa makini"
# mtu ... kijana
Lameki alimuua mtu mmoja tu
# kwa kunijeruhi ... kwa kunichubua
"kwa sababu alinijeruhi ... kwa sababi alinichubua" au "kwa sababu aliniumiza"
# Ikiwa Kaini atalipiwa kisasi mara saba, ndipo Lameki
Lameki anajua ya kwamba Mungu atalipa kisasi kwa ajili ya Kaini mara saba. "Kwa maana Mungu atamuadhibu yeyote atakayemuua Kaini mara saba, Lameki"
# ndipo Lameki atalipiwa kisasi mara sabini na saba
mara saba - Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "yeyote atakayeniua, Mungu atamuadhibu mara sabini na saba"
# sabini na saba
saba - 77