sw_tn/gal/06/14.md

33 lines
1.2 KiB
Markdown

# Isitokee nikajivuna isipokuwa kwa msalaba wa Bwana wetu Yesu Kristo
"sitaki kujivunia kitu chochote zaidi ya msalaba"
# ulimwengu umesulubiwa kwangu
Tungo hii inaweza kuelezwa katika muundo tendaji: "Ninadhani duniani tayari imekwisha kufa" au " naichukulia dunia kama ni mharifu ambaye Mungu amemuua msalabani"
# kwa ulimwengu
maneno "nimesulubiwa" yanaeleweka vizuri kutoka na maneno yaliyotangulia kabla ya haya. " na nimesulubishwa katika ulimwengu"
# kwa ulimwengu
Maana zinazokubalika ni) Ulimwengu unadhania kuwa mimi tayari nimeshakufa" au "dunia inanichukulia mimi kama mharifu ambaye Mungu amemuua msalabani"
# Ulimwengu
maana zinazokubalika ni 1) watu wa dunia, wale ambao hawamjali Mungu au 2) mambo yale ambayo watu wasiomjua Mungu hufikiri ni ya muhimu.
# kuwa si kitu
"ni muhimu" kwa Mungu
# uzao mpya
maana inawezekana ni 1) muumini mpya katika Yesu Kristo au 2) maisha mapya katika muumini.
# amani na rehema juu yao, na Israeli wa Mungu
maana zinazoweza kukubalika ni 1) kwamba waumini kwa ujumla ni Israeli ya Mungu au 2) "amani na rehema ziwe juu ya waamini wa Mataifa na juu ya Israeli ya Mungu
" au 3) "amani na iwe juu ya wale wanaofuata kanuni , na inaweza rehema ziwe hata juu ya Israeli ya Mungu. "