sw_tn/gal/05/01.md

20 lines
777 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Paulo anatumia mfano kwa kuwakumbusha waumini kutumia uhuru wao katika Kristo kwa sababu sheria yote imekamilika katika kumpenda jirani kama sisi wenyewe.
# Ni kwa Uhuru
Tafsiri inahitaji kusisitiza "uhuru" kinyume cha utumwa uliozungumzwa katika mistari iliyotangulia
# Ni kwa uhuru ambao Kristo ametuweka sisi huru
"ili kwamba tuweze kuwa kuwa huru maana Kristo ametuweka huru"
# simameni imara
kusimama imara hapa inawakilisha hali ya kutobadilika. Hali ya kutobadilika inaweza kuelezwa kwa uwazi. "msikubali hoja za watu wengine wanaowafundisha vitu tofauti" au " dhamirieni kuwa huru"
# kama mtakuwa mmetahiriwa
Paulo anatumia neno 'tohara' kama lugha ya mfano au picha kumaanisha dini ya kiyahudi. "Kama mtarudi kwenye Dini ya Kiyahudi"