sw_tn/ezr/10/16.md

342 B

walifanya hivi

watu walichunguza wale ambao walioa wasio wayahudi

siku ya kwanza ya mwezi wa kumi

Huu ni mwezi wa kumi wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya kwanza inakaribia katikati ya mwezi wa kumi na mbili kwa kalenda ya watu wa magharibi.

siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza

Hii ni katikati ya mwezi wa tatu kwa kalenda ya magharibi