sw_tn/ezr/10/09.md

502 B

katika siku tatu

"siku tatu baadaye"

mwezi wa tisa na siku ya ishirini ya mwezi

Huu ni mwezi wa tisa wa kalenda ya kiebrania. Siku ya ishirini ni karibu katikati ya mwezi wa kumi na mbili kwa kalenda ya watu wa magharibi.

katika mraba

sehemu kubwa ya uwazi mbele ya hekalu

Walijitoa kutetea

jina "kujitetea" linaweza kutafsiriwa kama kitenzi. AT: "kusaidia adui za watu wako"

na kama kuongeza makosa ya Waisraeli

'na sasa Mungu akatuona wenye makosa zaidi ya dhambi kuliko mwanzoni"