sw_tn/ezr/10/01.md

467 B

Akiwa Ezra anaomba na kutubu...akajirusha mwenyewe chini

Ezra anajiongelea mwenyewe kana kwamba alikuwa mtu mwingine

akajirusha mwenyewe chini

upesi kutoka katika hali ya kusimama na kuwa hali ya kulala uso ukiangalia chini

mbele ya nyumba ya Mungu

mbele ya hekalu

Shekania

Kama ilivyotafsiriwa katika 8:4

Yehieli

Kama ilivyotafsiriwa katika 8:8

Tumekuwa sio waaminifu kwa Mungu wetu

Hii ilifanywa kama toba ya hadharani, sio madai ya kujivuna