sw_tn/ezr/09/05.md

625 B

nafasi yangu nikiwa mnyenyekevu

njia nyingine ya kusema yeye alikuwa "alikaa na aibu"(9:3). "nilipokuwa nimekaa kwenye kiwanja chini kuonyesha aibu niliyokuwa nayo"

nikapiga na kunyooosha mikono yangu

"nikatoka na magoti yangu na kujinyoosha viungo nikiwa nimenyoosha mikono kuelekea angani

makosa yetu yamekuwa hadi kuvuka kichwani na maovu yetu yameongezeka kufika mbinguni

Haya maneno yana jinsi mbili ya kuyaongea makosa na maovu kana kwamba ni mwili abao unaweza kukuwa na kuongezeka kama watu. Majina "makosa" na "maovu" yanaweza kuelezekeza kama jina na kivumishi. AT:"sisi tumetenda maovu na tuna makosa"