sw_tn/ezr/08/04.md

533 B

Taarifa kwa ujumla

Orodha ya majina ya wanaume yanaendelea

wana wa Pahath-Moab,Eliehoenai mwana wa Zerahia

"Elihoenai mwana wa Zerahia alikuwa kiongozi wa wana wa Pahath Moab"

na pamoja naye kulikuwa wanaume mia mbili

"na pamoja Eliehoenai kulikuwa wanaume mia mbili"

Zerahia

Tafsiri jina la mtu huyu kama ulivyofanya katika 7:1

Shekania

Tafsiri jina la mtu huyu kama ulivyofanya katika 8:1

adini

Tafsiri jina hili kama ulivyofanya katika2:15

mia mbili...mia tatu...hamsini...sabini

"200...300...50...70"