sw_tn/ezr/06/21.md

1.1 KiB

wakajitenga wenyewe kutoka kwa watu wasio safi wa nchi

Kujitenga wenyewe kutoka kwa wasio safi inaonyesha kukataa kufanya vitu ambavyo mtu kutokuwa safi. AT:"Kukataa kufanya vitu ambavyo watu wa nchi wakifanya huwafanya wao kutokuwa safi"

kutokuwa safi kwa watu wa nchi

Hapa"kutokuwa safi" inawakilisha kutokukubaliwa na Mungu. AT:"vitu ambavyo watu wa nchi walivifanya na ikawafanya wasikubaliwe na Mungu"

kumchagua Yahwe

Kumtafuta Yahwe inaonyesha kuchagua kumjua, kuabudu na kumtii yeye. AT:"kuchagua kumtii Yahwe"

kubadilisha moyo wa mfalme wa Ashuru

Kubadilisha moyo wa Mfalme inaonyesha kumfanya yeye kufikiri tofauti kuhusu kazi ya hekalu. AT:"kubadilisha tabia ya mfalme wa Ashuru" au "kufanya mfalme wa Ashuru ku kutenda"

kuwatia nguvu mikono katika kazi ya nyumba yake

kuwatia nguvu mikono yao katika kazi inaonyesha kuwasaidia wao kufanya kazi.Mfalme wa Ashuru alifanya hivi kwa kuwaabia wao kufanya kazi na kutoa fedha kwa ajili hiyo.AT:"kuwasaidia wao kufanya kazi ya nyumba yake" au "kufanya iwezekane kazi ya nyumba yake"

kazi ya nyumba yake

Hii inamaanisha kujenga hekalu