sw_tn/ezr/06/13.md

622 B

Tatenai...Sheshthar-Bozenai

Tafsiri majina ya hawa wanaume kama ulivyofanya katika 5:3

Nyumba ikawa imekamilika

Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. Unatakiwa kuweka maelezo nyumba ipi iliyokamilika. AT:"Walikamilisha nyumba ya Mungu" au "Walimaliza kujenga hekalu"

siku ya tatu ya mwezi wa adari

"adari" ni jina la kumi na mbili na mwezi wa mwisho katika kalenda ya kiebrania. Ni kipindi cha majira ya baridi. Siku ya tatu ni karibu ya katikati ya mwezi wa pili wa kalenda ya magharibi.

mwaka wa sita

Mfalme dario amekuwa akiongoza kwa miaka mitano, hivyo sasa katika mwaka wa sita wa kutawala kwake.